Category Archives: sooke

Ndugu wa mume taarabu

Kiatu Media. Home Mawasiliano Download Nyimbo. Taarabu ni muziki wenye asili ya pwani, na kuna taarifa zisizo rasmi ambazo zinasema muziki huu ulianzishwa miaka themanini "80" iliyopita, muziki huu umekuwa ukipitia vipindi tofauti mpaka sasa kufikia kuitwa "Modern Taarabu", kuna watu wengi maarufu walioweza kuisimamisha taarabu mpaka sasa tunaitambua kama vile Mohamedy Liasi, Abdalla Issa, Makame Faki, Siti Binti Saad na wengineo wengi shukrani ziende kwao. Leo mtandao wa taarabuzetu.

Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post Home. Idadi ya Waliotembelea. Search This Blog. Julius Kambarage Nyerere. Tutakukumbuka Daima Jiunge nasi Zilizosomwa zaidi Ile nyimbo iliyoripotiwa hapo awali kufutwa katika studio aliyokuwa katumia kuirekodi Kepteni Temba, sasa ipo hewani baada ya kubadir Thabit Abdul sasa hii njaa!!! Nyimbo:- Nipo kamili nimejipanga - Nyawana Matasht Huyu ndio Nyawana Kais mjukuu wa Chief Wasanii mbalimbali wamuaga Juma Mgunda Hashim Said wa Mashauzi Classic alia na Walimwengu Isome Status ya Salha Wa Hammer alivyoandika katik Hammer Q Kuachia Video ya "Tunapendana".

Off - Side Trick yapagawisha Bukoba. Bendi ya G5 Modern Taarabu kutambulishwa leo Tareh Funga Kazi Modern Taarabu yaja na Nne kali!! Salha Abdallah kuanza rasmi leo kuimbia King's Mod Karibu sana katika Blog hii Feedjit Calendar.

Layest Songs Of Simbu Download Mp3

Powered by Blogger. Report Abuse. About Me Unknown View my complete profile. Popular Posts. Download hapa Nyimbompya kabisa zilizoimbwa na kundi linalokuja kutishia amani bendi kongwe hapa nchini kundi la Wakaliwao Modern Taaradan Nyawana Malkia wa Kinyamwezi. Pages Home Mawasiliano Download Nyimbo.Mkoa huo umekuwa ukiteswa na mambo mbalimbali ya kimaisha, uchumi na kiafya; wadau wazungumzia mustakabali wa hali iliyopo. Juzi familia ikiongozwa na Ausen Nkya, waliwasilisha pingamizi la awali wakitaka maombi ya mume wa marehemu, Zuberi Shango ya kutaka aruhusiwe kumzika mkewe yatupwe.

Akiwasilisha hoja za kisheria kuhusu pingamizi hilo, wakili Godwin Sandi anayewatetea wajibu maombi alidai Shango amewasilisha kortini maombi madogo badala ya kufungua shauri la msingi. Wakili Sandi katika hoja zake alizozitoa jana mchana, alisema maombi hayo yamefunguliwa kimakosa na kwamba vifungu vya sheria vilivyotumika havikustahili kutumika katika kufungua kesi hiyo.

Best Of Arijit Singh Sad Songs Download Mp3

Wakili huyo alieleza haikupaswa kufunguliwa kwa maombi madogo, bali ilipaswa kufunguliwa kama kesi ya kawaida ya madai, hivyo akaiomba mahakama hiyo itupilie mbali maombi hayo. Katika hoja yake, wakili huyo alisema hati ya kuitwa kwa shauri linalosikilizwa chemba inaonyesha ni maombi madogo kwamba, muombaji amezuiwa na wajibu maombi kumzika mkewe. Wakili Sandi alieleza shauri hilo lilipaswa lifunguliwe kama la madai na kuiomba mahakama itupe maombi hayo na wateja wake waruhusiwe kwenda kuzika.

Alisema kifungu cha 66 e na 95, alivyovitumia mleta maombi haviipi mahakama uwezo wa kusikiliza au kutoa amri zinazoombwa kwa vile kwa dosari hizo, kesi hiyo inakosa sifa ya kuwa mahakamani.

Wakili Sandi alieleza kuwa ili mahakama iweze kutoa uamuzi juu ya kesi hiyo, ni lazima kuwe na kesi ya msingi na kwamba kuifungua kama maombi madogo inakosa sifa kwa mujibu wa sheria. Akizungumzia kifungu cha 95 cha sheria ya muongozo wa mashauri ya madai, kilichotumiwa na watoa maombi, alisema pia hakiipi mahakama uwezo wa kusikiliza kesi hiyo. Akihitimisha hoja yake, wakili Sandi aliiambia mahakama kuwa kwa kuwa maombi yamewasilishwa kinyume cha sheria, wanaomba kesi hiyo itupiliwe mbali.

Akijibu hoja za pingamizi hilo, Wakili Tumaini Materu ambaye ni mmoja wa mawakili wanne wanaomwakilisha mume wa marehemu, Shango, alidai pingamizi lililowekwa halina mashiko kisheria.

Wakili huyo alieleza kuwa hakuna sheria ambayo inakataza maombi kuletwa kwa namna walivyopeleka na kwamba zipo kesi za mfano ambazo zinaruhusu uamuzi wa maombi kutolewa bila kesi ya msingi. Wakili huyo alisisitiza kuwa maombi yao yaliwasilishwa kisheria, na inaruhusu mahakama kuyasikiliza na kuweza kutenda haki kwani hata kifungu cha 95 walichotumia ni sahihi. Wakili mwingine katika jopo hilo, Elia Kiwia alipinga maelezo ya Sandi kuhusiana na kifungu cha 68 e akisema hakueleza nini cha kufanya na kudai hiyo inaonyesha yalikuwa ni mawazo yake.

Kwa upande wake, wakili Wilhad Kitaly alisema mapingamizi yaliyowasilishwa mahakamani hayana msingi kwa kuwa taratibu zilizotumika kufungua kesi hiyo ni sahihi kwa mujibu wa sheria. Aliiambia mahakama kuwa kifungu cha 68, e kiko sahihi mbele ya macho ya mahakama kwa kuwa kinaipa mamlaka ya kutoa uamuzi kama haki inakwenda kupotezwa.

Alifafanuwa kuwa Ibara ya 47 a ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaitaka mahakama pale inapokwenda kutenda haki, isifungwe na ufundi wa kisheria kama uliojitokeza katika kesi hiyo. Wakili Mussa Mziray aliiomba mahakama kutupilia mbali pingamizi lilizowasilishwa na kusikiliza kesi ili kupunguza muda wa mwili wa marehemu kukaa mochwari. Baada ya kusikiliza hoja za pande mbili, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Moshi, Bernadetha Maziku aliahirisha kesi hiyo saa alasiri hadi saa jioni atakapotoa uamuzi juu ya pingamizi hilo.

Kwa mujibu wa maombi namba 24 ya yaliyowasilishwa mahakamani hapo, mume wa marehemu anadai alifunga ndoa na Fatuma Julai 20, huko Tunduma mkoa wa Mbeya.

Katika hati ya kiapo kinzani walichokiwasilisha mahakamani jana, wajibu maombi wawili, Ausen Nkya na Lodrick Kileo, wanasisitiza kuwa marehemu hakuwahi kuolewa wala hakufia hospitali ya Kilema isipokuwa alifia Himo na mwili wake kupelekwa Hospitali ya Kilema.

Mwanzo Habari Kitaifa. Pia Soma. Asakwa na polisi kwa kujeruhi mume kwa kisu Mwamposa: Watu wavae barakoa wanapokuwa kanisani wasione aibu Askofu Chilogani ataka Watanzania kuchagua viongozi wacha Mungu kama Magufuli Ukaaji wa mita moja kuepuka maambukizi ya corona watumika kanisani.

Aliyeanguka kituo cha basi akijieleza kwa polisi azua taharuki Mwanza Shughuli za kupandisha na kushusha abiria pamoja na biashara nyingine, jana zilisimama kwa muda.Dada habari, kwanza nataka kukupa bigup sana kwa jinsi unavyonikuna nikisoma mada zako za hii blog yako, kwakweli zinatufundisha sana na kutufurahisha pia. JAMANI kwakweli kama raha anazijuwa maana ananifikisha sana tu kila mzunguko tukienda lazima nifike kilele na ndio nazidi kumpenda siku hadi siku.

Rosemary mimi ni msichana wa africa kabila ni mkikuyu, nimepata bahati kupata muchumba wa kitz, sasa huyu anataka tufunge ndoa na ananitell kwamba tribe yao baada ya kuoa wakati wapo honeymoon aunts zake huja siku inayofwata na kuangalia bedsheet tuliyolalia kama ina damu yani kama ameoa bikra.

Rose, mwenzio nacheka kwa uchungu, niliolewa mume wangu baada ya miaka sita ya ndoa yetu mume wangu akanitaarifu ya kwamba anataka kuoa mke wa pili, japo iliniuma sikushangaa sana kwani dini yetu inaruhusu kuoa wake hata wanne ikiwa tu utaomba ruhusa kwa mke wa kwanza naye akaridhia, basi kwakuwa mume wangu alisharidhia kuoa na kampata wa kumuoa sikuona kwanini nimkatalie nikamwambia amwambie tu huyu mkewe akija tuheshimiane na kila mtu ajuwe mipaka yake. Rose, hivi wanaume saa ingine sijui wanafikiria sisi wanawake ni mchezo tu wa kuchezea.

Rosemary, mimi ni msichana wa kitanzania naishi dubai, nilivyopata kazi hapa dubai nilikuja kama mtanzania lakini ukiniona sasa ni kama muarabu, nilivyofika hapa nilitamani sana kuwa mzuri kama hawa wasichana wa kiarabu wa hapa ndipo nilipopata marafiki na kuzoea dubai nikaanza kutafuta vya kunipa hiyo rangi niliyoitaka.

Rosemary, leo ninajambo kubwa sana limenikaa kwenye koo limenikaba nataka nilitapike kuhusu rafiki yangu kipenzi maana hata miye sikutegemea kama angenifanyia hivi. Home My Award Design contact us. Read More. Dada habari. Social Profiles. Popular Tags Blog Archives like this Page. Msaada Tutani I hope umzima nimeipenda blog yako kwani inakuwezasha mtu kutoa mambo yako ya ndani ambayo kwa jamii wanayaona ni matusi lakini kwa ukweli Usafi wa uke!

Kuna shosti leo kanitumia hii na wanawake wengine wote humu. Tanzania Blog Awards. Powered by Blogger. Follow this blog.

My Blog List. Meaty Snacks. Total Pageviews. Subscribe To Posts Atom. All Comments Atom. All Comments.Dada Violet, na wadau wote wa blog yako, nawaomba mmwombee baba yangu, maana amekuwa na tabia za ajabu sana kwa mama, zamani hakuwa hivyo ila tumefanya uchunguzi ni kwanini amebadilika gafla hivi, tumegundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa nje. Siku hizi haachi pesa ya chakula nyumbani yaani, matatizo kila kukicha, ugomvi kila siku ugomvi hauishi na siku nyingine hudiriki kuwafungia nje mama pamoja na wadogo zangu.

Jamani kuna kitu kinasumbuwa familia nyingi sana, nakutana na watu wengi hasa wanawake nikiwa salon na sehemu zingine, wanalalamika sana kuhusu waume zao kutokutulia nyumbani siku za weekend, unakuta mtu yuko busy kuanzia jumatatu hadi jumapili, kazi na yeye, yeye nakazi, sasa sijui ndio kazi kweli au ndio kazzzzzziiiiiiiiiiiii. Wapenzi wa Blog hii nzuri. Mimi ni mwanamke wa miaka 33, nina watoto 2 wa kike na wakiume. Mimi nilikuwa na boyfriend wangu na yeye alikuwa na girl friend wake, kwa kuwa tulipendana tukakubaliana kila mmoja wetu avunje mahusiano na mwenzie ili tuwe huru kufunga ndoa ambapo wote tulikubaliana na kuacha na hizo dates zetu na kuconcetrate na maamuzi yetu mapya.

Mwaka mwanzoni nikawa nimepata mimba ya mtoto wetu wa kwanza. Tukapanga taratibu zote za mahali na hatimaye akaja kwetu akatoa mahali kwa sherehe kubwa sana. Baada ya Mahali tulipanga siku ya harusi. Basi mume huyu aliendelea kunihudumia kwa hali na mali na kusema kuwa nisijali ananipenda sana na ndio maana kanitolea mahali. Tuliendelea hivyo mpaka tukaanza kuishi wote na kujenga pamoja.

ndugu wa mume taarabu

Mpaka hapa ninaongea na wewe bwana huyu anaishi kwa mitara. Kitendo hichi kimekuwa kero sana kwangu kiasi naona kama siishi kwa amani. Huyu bwana ananiregard mimi kama mke mdogo kwake cos nina 33 na yeye 43 huyo mama ana miaka 42years. Kwa hiyo mimi ndio nachukuliwa kama mke mdogo. Hayo ni machache sana nisiwachoshe. Wapendwa kwa busara zenu kama za mfalme Suleiman naomba mnishauri kama huyu ni mume wangu au ni wa mwenzangu?

ndugu wa mume taarabu

Huwa nasikia wanakwenda kwenye baadhi ya sherehe pamoja, inaniuma sana sina furaha hata kidogo, kwani alivunja makubaliano yetu na kunidanganya, ila kwakuwa nilimpenda niliamini kuwa nae atavunja mahusiano ya nje kama nilivyofanya mimi. Dada violet, pole na kazi, nahitji msaada wako kama utaweza kunisaidia nitakushukuru sana, pia kama inawezekana weka kwenye blog yako ila usinitaje jina ili niweze kupata ushauri zaidi.

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, niko Zanzibar, tangu niwe mwali hadi leo nimekutana na wanaume wawili, mmoja aliniacha, kwa sababu ambazo hata sizielewi Mpaka leo hii na alinitamkia kabisa sina sababu ila tu sikutaki tena, iliniuma sana nilitamani hata kujiua, ukizingatia niliweka nadhiri kuwa atakaenibikiri ndie atakaenioa, lakini akawa ameshapotosha ndoto zangu.

Baada ya muda nikiwa chuo, nilipata boyfriend mwingine, ambae niko nae hadi sasa, cha ajabu kila ninapokutana nae, tukimaliza tu! Huwa naumwa sana hadi nameza dawa, yani akishaniambia kesho tutafanya mimi nitalala nawaza usiku kucha, Napata maumivu makali sana huku chini na maeneo ya kwenye kinena panauma sana, huwa naumia hata saa zima na jasho linanitoka kabisa.

Huyu boyfriend wangu hadi anaogopa kunigusa, sasa nawasiwasi asije akashawishika kuwa na mwanamke mwingine, nampenda sana, na hata kwetu wameshamjua bado kuja rasmi tu! Aliwahi kunichukuwa kunipeleka hospitali moja huku huku Zanzibar, dada violet nilipimwa kila kitu, lakini hakukuwa na tatizo, hata daktari alishangaa, yani alichukuwa vipimo vyote, lakini hakukuwa na tatizo, siku ingine tena tulisafiri nae kwenda Kigoma, tulipofika tulilala pamoja hotelini, alivyonifanya tu!

Sikulala hadi kunakucha, kiuno kinauma hadi miguu, asubuhi alinipeleka hospitali kule kule kigoma, napo wakaniambia kuwa sina shida. Tukakaa kama wiki mbili baada ya kutoka hsptl tukafanya tena, maumivu pale pale, nikaenda hospitali ingine tena kwa mara ya tatu, napo wakasema kuwa mimi sina tatizo lolote, wakampima hata na boyfriend wangu wakasema pia hana tatizo. Hadi sasa sijielewi, maana nakosa kitendo cha muhumu kuliko vyote, naumia sana na hasa wasi wasi wangu ni kwamba huyu boyfriend wangu atanikimbia, Napata taabu sana naombeni mnisaidie nifanye nini?

Napenda sana ushauri wa watu na naamini utanisaidia sana, mara nyingi huwa napita ktk blog yako japo huwa sichangii, lakini sasa kuna tatizo lililonikuta, na sina ufumbuzi, nahitaji msaada wa mawazo sana. Nilikuwa na girlfriend wangu tuliekuwa tukifanya kazi pamoja na tulikubaliana kuoana, badae nilimtafutia kazi yenye maslah mazuri zaidi kwa nafasi yake ofisi nyingine, basi akaacha pale na kwenda kule kwa nilipomuunganishia.

Alieniunganisha katika ofisi hiyo ni rafiki yangu mimi anaefanya kazi pale. Nilimtambulisha mchumba wangu kwake, akamfahamu, na hata wakati tunapeleka mahali kwao, nae alitusindikiza, kinachonitatiza ni kwamba, huyu mchumba wangu amebadilika gafla sana, yani mapenzi yamekwisha kabisa, kitu kidogo tu anakasirika sana, inakuwa ugomvi mkubwa, wakati hakuwa hivyo hapo zamani, kuna mfanya kazi mwenzao mmoja pale aliwahi kunitumia sms na kusema kuwa mchumba wako sio mwaminifu anachukuliwa na rafiki yako.

Nilipomuuliza alikasirika sana na kukimbilia kunijibu kuwa kama nasikiliza watu basi tuachane, kwakuwa nilimpenda sana, niliamua kuwa mpole tu.Rose, mwenzio nacheka kwa uchungu, niliolewa mume wangu baada ya miaka sita ya ndoa yetu mume wangu akanitaarifu ya kwamba anataka kuoa mke wa pili, japo iliniuma sikushangaa sana kwani dini yetu inaruhusu kuoa wake hata wanne ikiwa tu utaomba ruhusa kwa mke wa kwanza naye akaridhia, basi kwakuwa mume wangu alisharidhia kuoa na kampata wa kumuoa sikuona kwanini nimkatalie nikamwambia amwambie tu huyu mkewe akija tuheshimiane na kila mtu ajuwe mipaka yake.

Pole dada kwa majaribu. Ila mshukuru Mungu sana kwani anakupenda saaana. Hata kama dini zinaruhusu wake wengi tujue kuwa hawa waume zetu wakati mwingine wanaenda kuleta vyangu doa ndani kisa dini inaruhusu. Ili liwe funzo. Hata kama unaoa wa pili basi awe dada na heshima zake si kuokoteza malaya. Home My Award Design contact us. Email This BlogThis! Newer Post Older Post Home. Anonymous August 25, at PM.

ndugu wa mume taarabu

Anonymous August 26, at AM. Anonymous August 27, at PM. Anonymous August 28, at AM. Subscribe to: Post Comments Atom. Social Profiles. Popular Tags Blog Archives like this Page. Msaada Tutani I hope umzima nimeipenda blog yako kwani inakuwezasha mtu kutoa mambo yako ya ndani ambayo kwa jamii wanayaona ni matusi lakini kwa ukweli Usafi wa uke!

Kuna shosti leo kanitumia hii na wanawake wengine wote humu. Tanzania Blog Awards. Powered by Blogger. Follow this blog.TANZANIA ina jumla ya watu milioni 45 kulingana na sensa ya watu ya mwakakati yao kuna wanandinga lukuki, lakini ina kiungo mmoja tu mkabaji anayeaminiwa na wengi ambaye si mwingine ni Jonas Gerald Mkude utotoni alikuwa akiitwa Jonas Mwakindagi.

Wengi hawaijui historia ya Mkude lakini gazeti la Msimbazi limefanikisha kuipata na hatimaye leo inawajuza, alipokuwa mdogo akicheza mpira wa chandimu, Mkude alianzia golini. Timu ya mtaani kwake iliyoanzia kucheza barabarani na kupelekea usumbufu mkubwa kwa wapita njia, hasa watembea kwa miguu, baiskeli au magari na pikipiki, Mkude na akiwa na umri wa miaka minne alisimama imara katika lango la timu yake. Kipindi hicho alipata usumbufu mkubwa kutoka kwa mama yake ambaye hakutaka mwanaye acheze soka, lakini alijiiba mara kwa mara na kuendelea nao.

Endelea kusoma. Na Prince Hoza TANGIA ilipoanza kupa kufahamika miongoni mwa wanadamu dini ya kishetani ya freemason imeanza kupata wanachama wengi, idadi kubwa ya watu hasa katika bara la Afrika imezidi kuongezeka. Nchini Tanzania kundi kubwa la vijana wanaoamini ukijiunga na dini hiyo ya kishetani unafanikiwa kimaisha, dini hiyo iliyoingia nchini miaka michache iliyopita ikitokea nchi jirani za Kenya na Uganda ambapo ndipo ilipoanza kupokelewa na kusambaa katika mikoa ya kaskazini mwa Tanzania.

Lakini freemason Lakini freemason ilikuwepo tangia kuanzishwa kwa kanisa la Roma katoliki, chimbuko la imani hiyo inatokana na watoto wawili wa nabii Nuhu Noa Mashindano ya kwanza kufanyika duniani ya Olimpiki ni sehemu ya kusambaa kwa dini hiyo ya kishetani ambapo waumini wake hudiriki kusali wakiwa uchi. YANGA SC siku ya Idd pili itasherehekea miaka ya 80 ya kuzaliwa kwake, pia itasherehekea ubingwa wake wa 25 iliyoutwaa msimu uliomalizika mwaka huu. Katibu mkuu wa Yanga Dk Jonas Toboroha aliiambia Afrika Soka kuwa sherehe hizo sasa zitafanyika siku ya Idd pili baada ya kukubali kuzisogeza mbele, awali sherehe hizo zilikuwa zifanyike jumamosi iliyopita ya tarehe 27 Juni mwaka huu.

Siku hiyo kulipangwa kufanyika kwa burudani kadhaa kutoka kwa wanamuziki wetu, pia mgeni wa heshima ilikuwa awe rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye pia ni mpenzi mkubwa wa Yanga.Riwaya hii inazungumzia matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii yetu kwa sasa. Matatizo hayo ni kama vile matabaka, umaskini, ndoa za kulazimishwa, wivu katika ndoa, n.

Katika riwaya hii, mtunzi anajadili aina nne za ukombozi ambazo ni ukombozi wa kiutamaduni, ukombozi wa kisiasa, ukombozi wa kiuchumi na ukombozi wa kifikra.

Ndugu wa mume-dar modern taarab

Katika kujadili ukombozi wa kiutamaduni, mwandishi anaonesha kuwa baadhi ya mila na desturi zetu zinamkandamiza mwanamke. Baadhi ya mila hizo ni ile ya kumlazimisha mwanamke kuolewa na mtu asiyemtaka. Kama walivyofanya wazazi wa Yasmin kwa kumwozesha binti yao kwa nguvu kwa Bw.

Yasmin hakumpenda Raza kwa sababu halikuwa chaguo lake. Hivyo, msanii anaonesha kuwa ili tujikomboe kiutamaduni lazima tuachane na mila hizo. Pili, kuna mila ya kumweka mwanamke utawani, kama alivyofanya Shihab baada ya kumuoa Yasmin.

Shihab baada ya kumuoa Yasmin alimweka utawani. Jambo hili linazorotesha maendeleo ya mwanamke, kwani badala ya kushughulika na kazi za kimaendeleo hukaa ndani tu na kusubiri kuletewa kila kitu na mwanaume. Katika kupiga vita mila hii msanii anaonesha kuwa, Yasmin alitoroka kwa shihab kwa lengo la kuonesha kuwa mila kama hizi zimepitwa na wakati na jamii haina budi kuzitupilia mbali mila hizo.

Hivyo, msanii anaishauri jamii kuwa, ili tuweze kujikomboa kiutamaduni hatuna budi kuachana na mila na desturi zilizopitwa na wakati zinazomnyanyasa mwanamke, kwani zinarudisha nyuma maendeleo ya jamii nzima kwa ujumla.

ndugu wa mume taarabu

Hapa msanii anazungumzia harakati za wananchi wa Unguja na Pemba za kujikomboa kutoka katika minyororo ya kunyonywa, kukandamizwa, kunyanyaswa na kuonewa na wakoloni wa Kiingereza pamoja na vijibwa vyao. Katika kujadili hayo, msanii anaonesha wazi jinsi Denge na kundi lake wanavyojishughulisha na harakati hizo kwa kutawanya vitabu vyenye mawazo ya kijamaa, magazeti yanayopinga ukoloni na makaratasi mengine ya uchochezi dhidi ya wakoloni.

Wao waliamini kuwa kwa kutumia vitabu, magazeti na makaratasi hayo, wananchi wa kawaida wangeamka na kuzijua haki zao na hatimaye kuanza kupambana na ukoloni huo. Katika kujadili dhamira hii ya ukombozi wa kisiasa, msanii anaonesha kuwa lazima tuwe na watu waliojitolea muhanga katika harakati hizo. Denge na kundi lake walijitoa muhanga katika kuhakikisha kuwa nchi yao inakombolewa kutoka katika mikono ya wakoloni kama asemavyo Denge uk.

Kila mtu ana wajibu fulani katika jamii na mimi wajibu wangu mkubwa ni kufanya kila niwezalo kwa kushirikiana na wenzangu ambao wengine unawajua na wengine huwajui ili kuona kwamba nchi hii inakuwa huru. Hii ni kazi ngumu ina matatizo mengi na inahitaji kujitoa muhanga na mimi ni miongoni mwa hao waliojitolea muhanga kufa, kupona, potelea mbali.

Tupo wengi tuliojitolea namna hiyo, tena wengi sana, maelfu. Denge na kundi lake walifuatwa sana na askari, lakini hawakuacha kueneleza harakati zao za kudai uhuru. Vilevile msanii anaonesha kuwa ili tujikomboe kisiasa, lazima tuwe na umoja na mshikamano, kwani umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Denge na kundi lake walishirikiana sana katika harakati zao za kupambana na wakoloni. Walishirikiana katika kutawanya vitabu, magazeti na makaratasi ya uchochezi dhidi ya ukoloni.

Ingawaje mpaka mwisho wa riaya hii ukombozi wa kisiasa ulikuwa bado haujapatikana, lakini bado harakati hizo zilikuwa zinaendelea na kuna siku ukombozi utapatikana. Katika riwaya hii, msanii annaonesha harakati za watu wa Unguja na Pemba za kujikomboa kiuchumi kutoka katika minyororo ya kunyonywa na wakoloni wa Kiingereza.

Uchumi wa Zanzibar kabla ya uhuru ulikuwa mikononi mwa wazungu wachache ambao walikuwa wanamiliki njia zote za uzalishaji mali.

HANIFA MAULID MAKAVU LIVE official video

Harakati za akina Denge na wenzake zililenga katika kuwakomboa Waafrika kiuchumi kwa kuchukua njia kuu za kuzalisha mali toka kwa wazungu wachache na kuziweka mikononi mwa Waafrika walio wengi.

Ukombozi wa kifikra ni ile hali ya kujua na kutambua matatizo yanayoikabili jamii yako na wewe mwenyewe na kutafuta mbinu za kujinasua kutoka katika matatizo hayo. Kitendo cha Yasmin kuona kuwa baadhi ya mila na desturi zinamnyanyasa mwanamke na kuamua kuachana nazo, inadhihirisha wazi kuwa Yasmin alikuwa na uwezo wa kufikiri na kuona mbali.

Mila hizo ni kama vile mwanamke kulazimishwa kuolewa na mtu asiyemtaka na kuwekwa utawani. Katika kujadili dhamira hii ya mapenzi, msanii ameainisha aina mbili za mapenzi, mapenzi ya kweli na mapenzi ya pesa. Mapenzi ya kweli tunayaona kati ya Mwajuma na Yasmin. Hawa walipendana hasa ndio maana Yasmin baada ya kutoroka kwa mume wake, alikimbilia kwa Mwajuma wakaishi pamoja.

Katika kuonesha hayo msanii anamwonesha Mwajuma kama mtu mwenye roho nzuri na mkarimu. Japokuwa alikuwa mtoto wa kimaskini lakini aliamua kumsaidia rafiki yake Yasmin. Msanii anasema uk.


This entry was posted in sooke. Bookmark the permalink.

Responses to Ndugu wa mume taarabu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *